Bensoul yuko Australia, kwa ziara maalum iliyo andaliwa na Tribe Entertainment.
Alipotembelea studio za SBS Swahili pamoja na Bw Ed kutoka Tribe Entertainment, Bensoul alifunguka kuhusu safari yake kimziki, mapokezi ambayo amepata Australia pamoja na anavyo wa andalia wapenzi wa mziki wake. Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.