Je uchaguzi wa uongozi uta sababisha mpasuko ndani ya CHADEMA

Viongozi wa CHADEMA, Tundu Lissu (kushoto) na Freeman Mbowe (kulia) wasalimiana.jpg

Wanachama wa chama kikuu cha upinzani CHADEMA, wanasalia na takriban wiki mbili kuingia debeni kumchagua kiongozi mpya.


Wagombea wakuu wa wadhifa huo ni mweyekiti wa sasa Freeman Mbowe, na naibu wake Tundu Lissu.

Katika kampeni zake Bw Lissu ame omba uchaguzi huo unao tarajiwa kufanywa 21 Januari, uwe na waangalizi wa ndani na wa kimataifa.

Uchaguzi huo unatarajiwa kuwa na ushindani mkali, kati ya wagombea wawili wenye umaarufu na uvutio mkubwa.

Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.

Share