Lissu "hatuwezi tegemea kipya kutoka kiongozi ambaye ameongoza kwa miaka 21"

Bw Tundu Lissu akitoa hotuba mbele ya wanachama wenza.jpg

Mgombea wa wadhifa wa uongozi wa chama kikuu cha upinzani CHADEMA nchini Tanzania, amefunguka kuhusu sababu zake zaku wania wadhifa huo.


Katika mazungumzo na waandishi wa habari, Tundu Lissu aliweka wazi sababu zake zakuwania uenyekiti wa chama hicho kikubwa cha upinzani licha ya hapo awali kusema hana nia yoyote ya kuwania wadhifa huo.

Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.

Share