Levi "Wazazi wasi harakishe kuwatuma watoto ng'ambo kabla hawaja komaa"

Eunice na Levi Kones katika studio za SBS Swahili.jpg

Wazazi wengi huwa na ndoto za kuwatuma watoto wao ng'ambo kufanya elimu ya juu.


Changamoto huja wakati baadhi ya watoto hao, wana toka nyumbani wakiwa na umri mdogo na bila uzoefu wa kuishi mbali ya familia zao.

Bi Wangeci na mumewe Bw Levi Kones, wali jadili hoja hii na SBS Swahili katika mahojiano maalum.

Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.

Share