Mchezo huo huleta pamoja familia na jumuia wakati wa likizo.
Katika makala haya ya Australia ya fafanuliwa, utajifunza maswala yakimsingi ya mchezo huo na kuhusu mifumo yake tofauti, kutoka mchezo wakitamaduni unao chezwa kwa siku kadhaa, hadi mifumo yakisasa yenye kasi maarufu kwa jina la T20.
Iwapo wewe tayari ni shabiki wa mchezo wa kriket au ni mgeni katika mchezo huo, tuta kuongoza katika michuano maarufu ili uweze pata shauku pia nakushiriki katika msimu wa kriket nchini Australia.
Jisajili au fuata makala yaliyo rekodiwa ya Australia ya fafanuliwa, kwa taarifa muhimu na vidokezo kuhusu kuanza maisha yako mapya nchini Australia.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.