Moto wa vichaka katika mbuga yakitaifa ya Grampians jimboni Victoria, hatimae ime dhibitiwa baada ya kuwaka kwa siku 21. Onyo lakutazama nakuchukua hatua inasalia ila, wakaaji wanaruhusiwa kurejea katika nyumba zao kwa tahadhari.
Baraza la wanasheria nchini Uganda hatimaye limetoa leseni ya muda kwa mwanasheria na mwanasiasa wa Kenya Martha Karua, kumtetea mwanasiasa wa upinzani Dokta Kizza Besigye katika mahakama ya jeshi.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.