Seneta wa chama cha Greens Sarah Hanson-Young, amerudia wito wa chama chake kwa hatua zichukuliwe kwa matendo ya uwekaji wa bei isiyo ya haki ya masoko makubwa.
Watanzania wametakiwa kusimama pamoja na kupaza sauti, dhidi ya vitendo vya utekaji vinavyoendelea nchini na jeshi la polisi latakiwa kukubali uwepo wa vitendo hivyo na kuwajibika kwa kufanya uchunguzi wanaharakati waomba.
Nchini DRC, asasi za kiraia zimefanya maandamano hapo jana siku ya Jumatano mjini Bukavu kupinga vita vinavyoendelea mashariki mwa nchi hiyo, lakini pia kuonesha hasira dhidi ya uchimbaji madini kinyume cha sheria.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.