Uhaba wa fedha wakwamisha shughuli za taasisi za Jumuiya ya Afrika Mashariki

Bango la jumuiya ya Afrika Mashariki.jpg

Taasisi kadhaa za Jumuiya ya Afrika Mashariki, zimejipata katika hali ngumu baada ya bajeti zao kuathirika sana.


Changamoto hiyo yakifedha imesababisha kukwama kwa shughuli za baadhi ya taasisi za Jumuiya hiyo ya Afrika Mashariki.

Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.

Share