Prof Chacha"nchi za Afrika zinastahili tambua jumuiya yaki mataifa hai ongelei tena maswala yao"

SOUTH AFRICA BRICS SUMMIT

Indian Prime Minister Narendra Modi, South African President Cyril Ramaphosa and Chinese President Xi Jinping attend a meeting during the 15th BRICS Summit, in Johannesburg, South Africa, 24 August 2023. Credit: MARCO LONGARI / POOL/EPA / AAPImage

Nchi kadhaa barani Afrika zina endelea kukabiliana na vita vya wenyewe kwa wenyewe.


Hali hiyo ina endelea kuzua wasiwasi kuhusu hatma ya mahusiano kati ya baadhi ya nchi hizo na washirika wao wakimataifa.

Alipo zungumzia hoja hiyo, mtalaam wa maswala ya diplomasia barani Afrika, Prof Chacha ali onya kuhusu jinsi maswala ya Afrika yana endelea kukosa kipaumbele miongoni mwa jumuiya yakimataifa.

Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.

Share