Prof Chacha "kuendelea kuahirisha uchaguzi hakuta leta amani au mafanikio Sudan Kusini"

The President of South Sudan Salva Kiir (R) and the rebel leader Riek Machar (L)

Source: AAP

Kwa mara nyingine uchaguzi mkuu wa Sudan Kusini ume ahirishwa hadi Disemba 2026.


Serikali ime dai miongoni mwa sababu zaku ahirisha uchaguzi mkuu ni kukosekana kwa maandalizi.

Prof Chacha Nyaigoti Chacha ni mtaalam wa diplomasia na mchanganuzi wa siasa ya Afrika Mashariki.

Katika mazungumzo maalum na SBS Swahili, alifunguka kuhusu masaibu yaki demokrasia ambayo raia wa Sudan Kusini wana kabili.

Bonyeza hapo juu kwa makala kamili.

Share