Kuelewa mfumo wa sheria wa Australia: sheria, mahakama na msaada wakisheria

Family court

Source: SBS

Mfumo wa sheria wa Australia ni mfumo changamano ulio undwa kudumisha utaratibu, kuhakikisha nakulinda haki za raia wake.


Kama shirikisho, Australia ina majimbo sita pamoja na mikoa mbili, kila moja yazo ikiwa na serikali yake huru, bunge na mfumo wa mahakama inayo fanya kazi pamoja na miundo ya madola.

Katika makala haya, tuta fafanua jinsi mfumo huu hutumika, na chaguzi zilizopo kwa msaada wakisheria.

Mfumo wa sheria wa Australia unahusisha safu mbali mbali za watendaji na taasisi. Licha ya majukumu na uongozi tofauti, zinafanya kazi pamoja kudumisha msingi wa mfumo wa sheria: utawala wa sheria.

Share