Kujiunga na wateja milioni 20 ambao wana akaunti za benki nchini Australia, inafaa kuchukua muda kutafuta akaunti inayo kufaa. Katika makala ya leo ya Australia yafafanuliwa, tuna tazama jinsi yaku chagua akaunti sahihi kwako.
Wa Australia wana chaguzi ya zaidi ya taasisi 100 zakifedha na, kwa sababu ni hela zako unastahili fanya maamuzi ya busara kuhusu taasisi inayo kufaa.
Baadhi ya benki zinaweza kuruhusu ufugue akaunti kabla yakuja Australia na, zinaweza kuuliza kuthibitisha utambulisho wako katika benki yao, utakapo wasili nchini.
Serikali ya Australia hutoa dhamana kwa kila mtu mwenye akaunti yenye takriban $250,000. Hii ina maana katika kisa ambapo taasisi yako ya fedha inafeli, hela zako zitakuwa zime lindwa.
Hiyo ni sababu nyingine nzuri ya kufungukua akaunti ya benki.
Jisajili au fuata makala yaliyo rekodiwa ya Australia yafafanuliwa kwa taarifa muhimu na, vidokezo kuhusu kuanza maisha yako mapya nchini Australia.