Waziri wa Elimu Jason Clare amesema hatua hiyo ita leta usawa zaidi katika sekta ya elimu yakimataifa ila, vyuo vingi vime pinga mpango huo.
Kwa ujumla, idadi ya wanafunzi 270,000 wataweza anza kusomea nchini Australia katika mwaka wa 2025.
Francis Mwaura ni Mkurugenzi wa kampuni ya Openmaps Global Study, katika mahojiano maalum na SBS Swahili alifunguka kuhusu madhara ya sera hiyo mpya iwapo itapitishwa bungeni kwa wanafunzi wakimataifa haswa wanao toka Afrika Mashariki. Unaweza wasiliana na Bw Mwaura kupitia tovuti hii:
Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.