Kwa muda mrefu wanafunzi wakimataifa kutoka ukanda wa Afrika Mashariki, wamekuwa wakitumia huduma za kampuni mbali mbali kupata viza zao zakuja kusomea Australia.
Licha ya sekta hiyo kudumu kwa muda mrefu, pengo kadhaa zime tambuliwa na baadhi ya makampuni yame chukua hatua tayari kuanza kuziba mapengo hayo.
Bw Francis Mwaura ni Mkurugenzi wa kampuni ya Openmaps Global Study, katika mazungumzo maalum na SBS Swahili alifunguka kuhusu alivyo ziba pengo katika utoaji wa elimu ya juu Australia.
Kwa taarifa zaidi kuhusu Openmaps Global Study, bonyeza hapo chini: