Shirika la kiraia lili wasilisha barua hiyo yenye pendekezo laku badili awamu ya uongozi wa rais kutoka miaka mitano hadi saba.
Baadhi ya wabunge wa chama tawala hivi karibuni walipendekeza mabadiliko ya katiba kwa ajili yaku ongeza muda wa muhula wa rais. Hata hivyo upinzani, mashirika ya kiraia na Kanisa Katoliki lenye ushawishi mkubwa nchini lime pinga pendekezo hilo.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa zaidi.