Hoja ya mamlaka yatishia mazungumzo yaku unda serikali ya mseto ya Sudan Kusini

Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir na naibu wake Riek Machar (kushoto) baada yakutoa amri kwa wanajeshi wasitishe vita

Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir na naibu wake Riek Machar (kushoto) baada yakutoa amri kwa wanajeshi wasitishe vita Source: AAP

Mazungumzo ya kuunda serikali ya mseto Sudan Kusini, yame kwama baada ya pande husika kuto afikiana kuhusu jinsi wata wagawa mamlaka.


Mpatanishi mkuu Luteni Jenerali mstaafu Lazaro Sumbeiywo, ali eleza SBS Swahili kuhusu hatua zinazo chukuliwa kurejesha pande zote katika meza ya mazungumzo.

Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.


Share