Wahitimu wamatibabu wakimataifa wa elezea kero za sifa zao kutambuliwa Australia

Private health insurance

Source: Getty

Takwimu mpya zina onesha ongezeko kwa idadi yama daktari, wauguzi na wataalamu wa afya wanao fanya kazi katika mifumo ya huduma ya afya nchini Australia.


Ila vikundi vya matibabu vimesema maelfu yawanafunzi wakimataifa ambao wako hapa tayari, wanapitia wakati mgumu kuona sifa zao za masomo kutambuliwa.

Madaktari hao wana ihamasisha serikali iondoe vizuizi ambavyo wanakabili.

Share