Steve "Na amini naweza kuwa kiongozi bora"

Steve Kemei mgombea huru wa wadhifa wa Naibu Rais katika uchaguzi wa chuo cha ECU.jpg

Wanafunzi wa chuo cha ECU mjini Perth wana ingia debeni kuwachagua viongozi wao wapya.


Steve Kemei anawania wadhifa wa Naibu Rais wa wanafunzi wakimataifa katika chuo hicho.

Katika mahojiano na SBS Swahili, aliweka wazi motisha yaku wania wadhifa huo pamoja na atakavyo ongoza tofauti na watangulizi wake iwapo ata fanikiwa kushinda uchaguzi huo.

Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.

Share