Wasanii kutoka Kokatha, Mirning, Wirangoo na mataifa mengine ya pwani, wana onesha kazi zao nakutumia sanaa na utamaduni wao kuzungumza kuhusu mazingira katika mji wa Ceduna ambao uko katika fukwe ya pwani ya Murat Bay, magharibi ya Eyre Peninsula, Kusini Australia.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.