Katika makala haya, tuta chunguza jinsi yakuwa salama na kuepuka faini zisizo tarajiwa na, kwa nini ni muhimu kujifahamisha na baadhi ya sheria za kawaida za wanao tembea kwa miguu nchini Australia.
Usalama wa watembeaji kwa miguu kawaida, hu husu kutumia akili ya kawaida.
Kama ungependa jua sheria kuhusu wanao tembea kwa miguu katika jimbo au wilaya unako ishi, tembelea tovuti ya Tume ya Usafiri wakitaifa.