Wakenya wanao ishi Australia wame kuwa wakifuatilia matukio yanayo endelea nchini kwao kwa kina.
Bi Phylis ni mkaaji wa Adelaide, Kusini Australia. katika mazungumzo na SBS Swahili kuhusu maandamano yanayo endelea nchini kwao, alichangia ushauri wake kwa viongozi na vijana wenza.
Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.