Mercy"Tunatazamia kupokea huduma bora kutoka kwa balozi wetu"

Mercy na Wakili Chiry nje ya ukumbi wa Chester Hill.jpg

Viongozi wa shirika la Kenyans in Sydney Welfare Association kwa ushirikiano na mashirika mengine yawakenya wanao ishi mjini Sydney wali andaa kongamano la wanafunzi.


Mgeni mkuu wa kongamano hilo alikuwa Balozi wa Kenya nchini Australia Mhe Dr Wilson Kogo.

Punde baada ya kongamano hilo SBS Swahili ilizungumza na Bi Mercy pamoja na Wakili Chiry ambao ni miongoni mwa waandalizi wa kongamano.

Wawili hao walifunguka kuhusu maswala kadhaa yanayo waathiri wanajumuia wao pamoja nakutueleza matarajio yao kutoka kwa Balozi mpya Mhe Dr Kogo.

Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.

Share